Habari RFI-Ki - Rais wa DRC Felix Tshisekedi atembelea wahanga wa Volkano

10:17
 
Condividi
 

Manage episode 295012044 series 1143115
Creato da France Médias Monde and RFI Kiswahili, autore scoperto da Player FM e dalla nostra community - Il copyright è detenuto dall'editore, non da Player FM, e l'audio viene riprodotto direttamente dal suo server. Clicca sul pulsante Iscriviti per rimanere aggiornato su Player FM, o incolla l'URL del feed in un altra app per i podcast.
Makala maalum ya habari rafiki imeangazia matarajio ya raia wa mjini Goma baada ya kumpokea rais wa nchi hiyo katika ziara yake kwenye mji huo mwishoni mwa juma lililopita, Tumekuuliza Msikilizaji wetu uliyeko Goma je ? baada ya janga la Volkano na changamoto ya usalama, umeridhishwa na Hatua za serikali ya Kinshasa kulishughulikia Janga la Volkano ? Rais Tshisekedi amejibu kwa matarajio yako ? Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata zaidi.

410 episodi