HabariTech pubblico
[search 0]
Altro
Scarica l'app!
show episodes
 
Loading …
show series
 
Mwanzoni mwa miaka ya 2010s kufuli iliyofungwa ilianza kutumika kuonyesha kwamba website ziko salama. Miaka ya sasa hivi alama hii imeonekana kupoteza thamani yake kwa kuwa hata website zenye malicious code zinaonekana kutumia alama hii. Hivyo google wameamua kuja na utatuzi mpya wa tatizo hili.
  continue reading
 
Sio mara moja watu mtandaoni wamelalamika kwamba mitandao ya kijamii inasikiliza mazungumzo yao. Hiyo ni kwa sababu huwa wakizungumza kuhusu jambo wanaanza kuona matangazo kuhusu hicho kitu.Kuna namna ambayo mitandao ya kijamii inasikiliza mazungumzo yako, lakini sivyo hivyo unavyofikiria .
  continue reading
 
Kwa miaka mingi tumeona Facial Recognition ikitumika katika movies na tukatamani sana kuona namna inavyofanya kazi katika uhalisia. Wakati tukitamani sana kuona God's eye ya Fast and Furious kuwa ya kweli tayari kuna tech za facial recognition zinatumika duniani. Furaha ipo kwa mamlaka zinazohusika na kukaa na data zinakusanywa hapa, lakini kwa wan…
  continue reading
 
Watumiaji wengi wa Windows 10 wamekutana na errors zilizopelekea wao kushindwa kufanya kazi. Mara nyingi hii inatokea baada ya kufanya update na kusalimiwa na BSOD (Blue Screen of Death). Kuna nini Microsoft wameshindwa kuboresha kwenye Windows 10 mpaka inakuwa hivi?
  continue reading
 
Loading …

Guida rapida