Player FM - Internet Radio Done Right
Checked 6d ago
Aggiunto tre anni fa
Contenuto fornito da love untold podcast and Love untold podcast. Tutti i contenuti dei podcast, inclusi episodi, grafica e descrizioni dei podcast, vengono caricati e forniti direttamente da love untold podcast and Love untold podcast o dal partner della piattaforma podcast. Se ritieni che qualcuno stia utilizzando la tua opera protetta da copyright senza la tua autorizzazione, puoi seguire la procedura descritta qui https://it.player.fm/legal.
Player FM - App Podcast
Vai offline con l'app Player FM !
Vai offline con l'app Player FM !
LOVE UNTOLD PODCAST explicit
Segna tutti come (non) riprodotti ...
Manage series 3240953
Contenuto fornito da love untold podcast and Love untold podcast. Tutti i contenuti dei podcast, inclusi episodi, grafica e descrizioni dei podcast, vengono caricati e forniti direttamente da love untold podcast and Love untold podcast o dal partner della piattaforma podcast. Se ritieni che qualcuno stia utilizzando la tua opera protetta da copyright senza la tua autorizzazione, puoi seguire la procedura descritta qui https://it.player.fm/legal.
"Love Untold (Jesus Love)" is a podcast that explores the transformative power of Jesus' love in our lives. Hosted by passionate speakers it features personal testimonies and scripture-based teachings to provide practical insights and inspiration for those seeking to deepen their experience of Jesus' love. Join us on this journey of discovering the untold love of Jesus.
…
continue reading
62 episodi
Segna tutti come (non) riprodotti ...
Manage series 3240953
Contenuto fornito da love untold podcast and Love untold podcast. Tutti i contenuti dei podcast, inclusi episodi, grafica e descrizioni dei podcast, vengono caricati e forniti direttamente da love untold podcast and Love untold podcast o dal partner della piattaforma podcast. Se ritieni che qualcuno stia utilizzando la tua opera protetta da copyright senza la tua autorizzazione, puoi seguire la procedura descritta qui https://it.player.fm/legal.
"Love Untold (Jesus Love)" is a podcast that explores the transformative power of Jesus' love in our lives. Hosted by passionate speakers it features personal testimonies and scripture-based teachings to provide practical insights and inspiration for those seeking to deepen their experience of Jesus' love. Join us on this journey of discovering the untold love of Jesus.
…
continue reading
62 episodi
Tutti gli episodi
×
1 GOD IN CHAOS 1:23:17
1:23:17
Riproduci in seguito
Riproduci in seguito
Liste
Like
Like aggiunto1:23:17
" God in Chaos” ni dhana inayoeleza kwamba Mungu yupo katikati ya machafuko na hali zisizoeleweka. Hata pale ambapo maisha yanaonekana kugubikwa na migogoro, mateso, au hali ngumu, Mungu bado yuko kazini, akileta mpango wake timilifu. Ni wazo linalotufundisha kumtegemea Mungu na kumwamini hata tunapopitia vipindi vya giza na sintofahamu. Maandiko kama Zaburi 46:1-2 (“Mungu ni kimbilio letu na nguvu yetu, msaidizi mwaminifu katika taabu. Kwa hiyo hatutaogopa, ijapotingisika dunia…”) yanatufundisha kuwa hata dunia inapoyumbayumba, Mungu bado yupo thabiti. Dhana hii inaweza pia kutumika kuelezea jinsi Mungu anavyoweza kuleta uzuri kutoka kwa machafuko, kwa mfano, jinsi alivyoumba dunia kutoka kwa hali ya ukiwa (Mwanzo 1:2), au jinsi alivyoleta wokovu kupitia mateso ya Kristo msalabani. Kwa kifupi, God in Chaos ni mwaliko wa kumwamini Mungu katika nyakati za misukosuko, tukijua kwamba hakuna machafuko yanayoweza kumpindua Yeye au kuharibu mpango wake kwa ajili yetu.…

1 Valentine special 1:53:13
1:53:13
Riproduci in seguito
Riproduci in seguito
Liste
Like
Like aggiunto1:53:13
Mahusiano yanayo simamia misingi ya Mungu ni Yapi. Kupitia episode hii producer rich anatupa insights na tumemuuliza maswali baadhi kutupa mwanga zaidi
Kuna nguvu kubwa kwenye kusamehe, na kusaau na Mungu anasema ili yeye atusamehe lazima na sisi tuwa samehe wale walitukosea. Mtumishi wa Mungu kaka Erick anatupa insights ya nguvu ya msamaha kuna nini nyuma ya kuomba au kutoa msamaha kwa mtu aliyekukosea.

1 Secret behind prayers 1:51:35
1:51:35
Riproduci in seguito
Riproduci in seguito
Liste
Like
Like aggiunto1:51:35
Karibu tusikilize kwa pamoja kipindi cha Bongo gospel leo na kujifunza mengi juu ya maombi na kwa nini tuombe wakati Mungu anajua na kufahamu haja za mioyo yetu. Na nini kipo nyuma ya maombi

1 Why Do we fast 1:48:14
1:48:14
Riproduci in seguito
Riproduci in seguito
Liste
Like
Like aggiunto1:48:14
Hello family karibu sana kwenye kipindi hiki cha bongo gospel. Hapa tutakuwa tunapata baraka ya top ten ya bongo gospel pia tutakuwa tunapata kusikia neno la siku na shuhuda yani God and I karibu this show goes live hapa love untold podcast and mtawala radio kila siku za jumamosi kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 4 asubuhi…
Mipango yetu ya kimwili ni muhimu lakini mipango yetu ya kiroho ni muhimu zaidi tunapo enda kuanza mwaka 2025 hakikisha umeandaa vizuri mipango yako ya kiroho kwa ajili ya mwaka 2025 ili Mungu akakusimamie katika mipango yako ya kimwili. Kwenye episode hii ya 10 na ya mwisho kwa mwaka huu 2024 utapata kufahamu mambo ya kufanya ya kiroho kujiandaa kuingia 2025. mungu akubariki na ukawe na usikilizaji mzuri…
In this episode, we dive into the ultimate formula for success: a powerful combination of hard work (juhudi), integrity (uaminifu), and meaningful connections. Join us as we explore how these elements, along with a growth mindset and faith in God’s grace, can lead to lasting success. Tune in for practical insights and biblical wisdom to help you unlock your full potential and thrive in every area of life.…
Ukisema una hofu ya Mungu lazima iambatane na kumcha Mungu karibu tupokee neno la uzima toka kwa man of God lwitiko
Ni maombi ya kutoka moyoni kwamba Baraka za Mungu zitakufikia wakati unaofaa, kulingana na wakati wake kamili. Inaelezea hamu ya kuwa na imani na uaminifu katika mpango wa Mungu na utambuzi kwamba Baraka zake daima huwa za wakati nainazotimiza. Mathayo 11:12
Kutengeza faragha na Mungu ni sehemu ya maisha ya mkristo na itakusaidia kujenga uhusiano mzuri na wa karibu na Mungu
The Intimate with Christ podcast episode explores the topic of intimacy with God by drawing parallels with intimate human relationships. Listeners will gain a deeper understanding God's desire for genuine, vulnerable, and passionate connection with His people. The podcast delves into the importance of trust, communication, vulnerability, and commitment in building a strong, fulfilling with God. The host also shares personal experiences of intimate moments with Christ and offers practical tips on how to grow in intimacy with God. This episode is a must-listen for anyone seeking to deepen their spiritual connection and experience the fullness of God's love.…
This podcast episode is about the concept of unblemished religion in James 1:27. We will discuss what means and how it relates to our daily lives as Christians, including caring for the and staying pure from worldly influences.
21st century nazarites are called into “holiness” a life of separation from the world. Holiness in simple terms means Obidience to God. 1peter 1:15-16
As a Christian, we seek to know and fulfill God's purpose for our lives, grow in our relationship with Him and more like Christ, serve others selflessly, share the gospel, and make a positive impact in the world. Our desire is to honor and glorify God in all that we do and fulfill the purpose He has for us.…
Ibada ya Tarehe 21/1/2024 Sermon Summary Mch: Ephraim Mbila. 1Samweli 25 Habari ya Nabali. Somo: Shukurani ya Punda ni Mateke. Nabali alikua ana mifugo yapatayo 4,000 na wachungaji. Daudi alipokua eneo alilokua akifanya machungi aliweza pia kufanyika ulinzi wa mifugo yake pamoja na wachungaji wa mifugo yake. Maana ya jina Nabali - mtu Mpumbavu “a Fool”. Ijapokua alikua na mali nyingi lakini alikua mtu muovu,aliyekosa adabu. Ijapokua ni mtu mpumbavu na muovu Alipata mke mzuri Abigail -maana ya jina lake “furaha ya baba yake.” Abigail aliutambua udhaifu wa mume wake na kwa hekima aliufunika. Katika habari iliyo katika kitabu hiki, Inafika kipindi cha Mavuno kwa Nabali na Daudi awatuma vijana wake kwa Nabali kwamba aweze kumpa chochote kwa ajili ya jeshi lake na yeye. Majibu ya Nabali yatoka kwa kiburi na yenye jeuri na anasisitiza kua hamtambui Daudi, wala kazi ile ya ulinzi Daudi na Jeshi lake waliofanya kwa mifugo na wachungaji wake. Tutafakari Mungu anapokuja kwetu na yeye ndiye aliyetupa yote tulionyayo si kwa kustahili bali kwa neema yake. Je tunajibu nini? Mfano:(Mafuriko haya yaliyoleta maafa makubwa na upotevu wa maisha je ni nini cha ziada tulichofanya kustahili kua salama?) Ni wachache huingia kwenye maombi kuomba walivyonavyo iwe ni watoto,ni kazi ni elimu. Je ni kweli kwamba vyote tuliomba kwa Mungu ndio maana amekupa au Je ni kweli kua vingi ambavyo tunavyo tumejikuta tumevipata. Ni kweli pia kua kuna ambavyo tumeomba na hatujapata kwa kua tunaomba vibaya kwa ajili ya tamaa zetu wenyewe. Ila ni mengi Mungu hututendea na bado tumekua wenye kiburi kutambua ya kua vyote tulivyo navyo ni kwa utukufu wake. Mfano wa mchungaji: “Nimepaki V8 nje ya kanisa ili kila atakaeulizwa ajibiwe ni la Mch: Mwakajangwa , wanikome na waniheshimu” Bila Mkono wa Mungu aliye Hai haiwezekani kufanikiwa. Si kwa ujuzi wala uwezo tulionao tusiwe wapumbavu kama Naabali “a fool” Je Tunajibu nini tunapotakiwa kuwatunza watumishi wa Bwana? Hua tunajibu nini? Tumeongea maneno ya jeuri na maneno magumu kwa watu. Kama nabali tumejibu majibu magumu na yasiyofaa mbele za Mungu. Jibu la Daudi; Anachukua Silaha na jeshi zima kwenda kumaliza familia ya nabali wala hakuna ataesalia. Ni kwa kiburi chake ameleta uangamivu kwenye familia yake. Japo Abigail kwa hekima aliweza kuzuia hilo Nabali alikufa kwa ugonjwa wa moyo. Siri kubwa ni mkono wa Mungu kwenye maisha yetu unapotoweka basi shetani huchukua nafasi. Mungu ni Mungu mwenye hasira ingawa biblia inasema si mwepesi wa Hasira bali ni mwingi wa rehema. Tusiwe kama Nabali mpumbavu na kupelekea Mungu kuchukua kiti cha hukumu kwenye maisha yetu. Neno la Mungu ni amri, maneno ya Mungu ni maagizo ni katika utii ndipo tutaweza kutenda sawa sawa. Tafakari Je yawezekanaje mtu kulalamika wazi juu ya maombi kanisani? Je yawezekanaje mtu kupinga waziwazi ajenga za Mungu kanisani hasa juu ya utoaji? -“Kwanini tutoe ujenzi?” “Kwanini tutunze madhabahu?” “Kwanini tuchangie wagonjwa?” “Kwanini huu msiba tuchange?” Maombi ni muhimiri wa kanisa , ni vyema kua na akili na kutambua hawa watu wenye maswali yapingayo agenda za Kimungu ni chanzo cha uharibifu kanisa, Na kama “upumbavu” wa Nabali kupeleka anguko letu. Luka 7:1-10 Habari ya akida aliyepata uponyaji kwasababu ya mema aliyofanya kwa taifa la israel na ujenzi wa Sinagogi. Funzo: katika kutoa kwake aliweza kupata kibali cha kusikilizwa na habari yake kufikishwa kwa Yesu na kupata uponyaji. Kuelekea sikukuu ya uwakili tukaseme Mungu asante kwa yote aliyotupa na tukatoe sawasawa na uaminifu wetu kwa Mungu. Tuachane na uoga wa maisha haya vinywa vyetu visiwe vyepesi kutamka madhaifu “Januari ni mwezi dume” tukiri maneno ya Mungu wakati wote bila kuangalia mazingira. Mwanakondoo Ameshinda.…
Benvenuto su Player FM!
Player FM ricerca sul web podcast di alta qualità che tu possa goderti adesso. È la migliore app di podcast e funziona su Android, iPhone e web. Registrati per sincronizzare le iscrizioni su tutti i tuoi dispositivi.