Vai offline con l'app Player FM !
CORONA ITAKOMA!
Manage episode 257426898 series 2177396
Moja ya kanuni za kujikinga zinazotangazwa na WHO ni kuosha mikono mara kwa mara kwa sabuni au kemikali maalumu hata kama mikono haionekani kuwa michafu. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba mtu anapoosha mikono kama inayoelekezwa,anaweza kuondoa virusi hivyo endapo viko mikononi.Kukaa mbali kunasaidia kuepusha kusambaa kwa virusi kwa sababu mtu aliyeathrika na virusi vya corona anaweza kukohoa au kupiga chafya inayoamabatana na mate yaliyobeba virusi hivyo kaka karibu, unaweza kuvuta virusi hao.
Tazama Filamu iliotoka 2011 ya 'Contagion' Wakiwemo waigizaji maarufu kutoka Hollywood
- Matt Damon
- Laurence Fishburne
- Gwyneth Paltrow
- Jude Law
11 episodi

Toate episoadele
×Benvenuto su Player FM!
Player FM ricerca sul web podcast di alta qualità che tu possa goderti adesso. È la migliore app di podcast e funziona su Android, iPhone e web. Registrati per sincronizzare le iscrizioni su tutti i tuoi dispositivi.